Baadhi ya watendaji wa Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzibar Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya hiyo kuhusu azma ya serikali katika kuwaletea maendeleo wananchi wake,kwa kipindi cha mwaka mmoja ujao, kupitia bajeti ya mwaka 2011-2012 Baadhi ya watendaji wa Wizara ya Afya

Takriban watu milioni mbili katika maeneo ya pembe ya Afrika yaliyokumbwa na ukame wameathiriwa vibaya na baa la njaa lililokumba baadhi ya maeneo ya nchi zaKenya, Ethiopia, Djibouti na Somalia. Wasiwasi huo wa kuongezeka kwa baa hilo unakuwa wakati ambapo kamati ya bunge la Marekani inayohusika na masuala ya kuratibu fedha za misaada ikipendekezwa kupunguziwa bajeti kwa Shirika la misaada