Bwana Hassan Simba Hassan SUZA Public Relation Officer. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo -Taaluma Dr. Haji Mwevura akimkabidhi WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Muheshimiwa Haroun Ali Suleiman cheti maalumu cha shukurani kwa mchango wake mkubwa alioutoa wakati alipokua waziri wa elimu . WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Kamishina wa Polisi wa Zanzibar, Mussa Ali Mussa, wakifunua kwa pamoja kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa Kituo cha Polisi cha Kiboje, baada ya kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho ulioanza Februari 14, 2012 na kuzinduliwa jana Desemba 26, wakati wa hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika Kiboje