
Leo baada ya Salat ya IJumaa, maiti ya Maremu Bi Rahma Mshangama ilisaliwa katika msikiti wa Ijumaa Mwembeshauri, mjini Unguja na baada ya hapo ilienda kuzikwa katika makaburi ya Mwanakwereke nje kidogo ya mji wa Zanzibar. Bi Rahma Mshangama alifariki jana katika hospitali ya MnaziMmoja mjini Zanzibar, Marehehemu Bi Ramha alizaliwa tarehe 21 Aprili 1961 Kikwajuni Mjini Zanzibar na kupata elimu