HUKUMU IMETOLEWA! Papii Kocha na Baba yake, Babu Seya wameonekana na hatia hivyo wataendelea kukaa jela for the rest of your lives!! Wakati wawili hao wakiendelea kusota, watoto wake wawili Francis Nguza na Mbangu Nguza wameachiwa huru baada ya kuonekana hawakuwa na hatia.
[ Read More ]