
MWILI WA MAREHEMU UNATARAJIWA KUAGWA SIKU YA JUMANNE TAREHE 10 APRIL, NA ATAZIKWA WAPI ANASUBIRIWA MAMA MZAZI WA MAREHEMU MZAZI AMBAYE ANATOKEA SHINYANGA. AKIJA NDO ITAAMULIWA KAMA ATAZIKWA HAPA AU ATASAFIRISHWA . NA KUKIWA NA MABADILIKO TUTAENDELEA KUHABARISHANA R.I.P STEVE KANUMBA