
Polisi ya Marekani inasema inawezekeana muuaji Adam Laza mwenye umri wa miaka 20 alimuuwa mama yake kwanza Nancy Lanza kwa kumpiga risasi nyumbani kwao kabla ya kufanya mauaji ya watu 26, kati yao watoto 20 wenye umri usipindukia miaka 10, kwenye skuli ya ya Newton, Connecticut, alikuwa na matatizo ya akili. Hadi sasa serikali haijazungumza hadharani juu ya kile kinachowezekana kuwa dhamira