
Meli ya MV Spice Islanders ikielewa katika bahari eneo la Nungwi Zanzibar nchini Tanzania, inasadikiwa kuwa kabla ya kupata ajali meli hiyo ilikuwa imebeba abiria 3,000, huku uwezo wake ukiwa abiria 600 MELI ya MV Spice Islanders iliyopata ajali mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo vya takriban watu 200 na majeruhi 619 ambao waliokopolewa, ilibeba abiria 3,000 wakati uwezo wake ni