BODI ya Ushauri wa hospitali Binafsi imeifungia hospitali moja na kutoa onyo kwa hospitali nne kutokana matatizo ya mbali mbali ikiwemo ukosefu wa wafanyakazi wa kutosha pamoja na mazingira yasiyo salama ya utoji huduma za afya.Msaidizi Mrajis wa Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi, Dk. Shaaban Seif Mohammed aliitaja hospitali iliyofungiwa ni Kidongoochekundu Dispensary na zilizopewa onyo kali ni
[ Read More ]