Mtoto Deus Juma(7)akiwa wadi namba moja katika Hospitali ya Wilaya ya Geita akiuguza majeraha kwenye mikono yake baada ya kuchomwa moto na mama yake mzazi.Picha na David Azaria----POLISI wilayani Geita katika mkoa wa Mwanza wamemkamata mwanamke kwa tuhuma za kumuunguza mwanawe kwa maji ya moto mikono yote miwili na kisha kumfungia ndani kwa siku tatu. Mary Dominick anadaiwa kufanya kitendo hicho