Mimi na wewe tuungane Tumsaidieni ndugu yetu msanii wa filamu SAJUKI anaumwa na anahitaji kwenda kutibiwa INDIA mapema iwezekanavyo!! Waweza kumchangia kupitia AKIBA BANK Account number 050000003047 Jina la mwenye account ni mkewe WASTARA JUMA au M PESA Number 0762189