
Assalam aleikum.Ndugu watanzania, ikiwa ni mara ya kwanza kutoa salam zangu na shukrani za dhati kwenu ikiwa ni wiki ya 3 sasa baada uchauguzi kufanyika na kutumia haki yenu kuchagua uongozi mpya ukiongozwa na mimi kuchukua hatamu hii ya kuongoza chama chetu cha wanafunzi wa kitanzania Mysore kwa mwaka wa masomo 2010-2011.Ndugu watanzania, hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kuweza kufika hapa tukiwa