
ALIYEKUWA kiongozi wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi ameripotiwa kuuawa na wapiganaji wanaoongozwa na Baraza la Mpito nchini humo (NTC), baada ya mji wa nyumbani kwake, Sirte kunyakuliwa na vikosi hivyo jana.Kifo cha Kanali Gaddafi (69) kilitangazwa rasmi na Waziri Mkuu wa Serikali ya mpito nchini humo, Mahmoud Jibril, muda mfupi baada kiongozi huyo aliyeitawala Libya kwa miaka 42 kuuawa.Awali,

Hayati Maulid Hamad Maulid enzi za uhai wake CHAMA Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa), kinasikitika kutangaza kifo cha mwandishi mahiri wa habari za michezo Zanzibar, Maulid Hamad Maulid. Maulid ambaye anafanyia kazi vituo vya Redio One na ITV akiwa Zanzibar, amefariki dunia leo Jumanne Oktoba 18, 2011 asubuhi nyumbani kwake Jang’ombe Zanzibar. Taswa imepokea kwa masikitiko