Maskini ya Mungu Mtoto wa watu alienda shule kusoma na kujifunza ,hakujua kama shule ingemletea umauti...
ilikuwa march 29 reported missing ...
Kumbe mwalimu anayefahamika kwa jina la Melissa ndio alim kidnap aisee ...mtoto huyu yeye anaitwa Huckaby ambae ni mjukuu wa Mchungaji kama alivyo John Legend ..
Mwalimu huo amaehukumiwa miaka 25 jela kwa kifo cha mtoto huyo amabae baadae alimuua na haieleweki kisa cha kumuua mwanafunzi wake,tena malaika wa Mungu ni nini,ila mwalimu huyo aliajiriwa na Mchungaji wa kanisa hilo ambae mchungaji huyo ni Babu wa Mtoto alieuliwa..
R.I.P
Categories: