Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

WAISLAMU WASIKISHWA NA KUCHOMWA QUR-AN ZANZIBAR

-
Rehema Mwinyi.







Assalam alaykum

We would like to inform you the very sad news about burning of The Holy Quraan in Zanzibar on the 16th of November at Mombasa Street oposit to SOS village. The attach file is a photos of a man who buring quraan in the open space. My Allah Punish Him in Hell and all behind this plan of intimidating DEEN Of Allah. The man who did his name is Ramadhan Kandar Juma (Christian from KG church of Kariakoo Zanzibar) from Tanzania Mainland from Shinyanga Region Sukuma tribe. Please see the photos of Mr Ramadhan 

Please forward this message to all Muslim around the world

Assalam alaykoum
Huu ni msiba mkubwa kwa wazanzibari na ummah wa kiisalam duniani kote. Kitabu Hiki kitukufu cha Allah kimechomwa moto hadharani siku ya tarehe 16/11/2010 saa mbili usiku katika mtaa wa Mombasa SOS. Mchomaji ni huyo hapo aliyevaa fulana ya rangi nyekundu. Tunakuomba Allah utuhukumie hapa duniani na wale wote waliomtuma kufanya kitendo hiki cha udhalilishaji. Kijana Huyu ni Mfuasi wa kanisa la KG church lililoko eneo la Kariakoo Zanzibar linaloongozwa na Further DIXON. Tunamuomba kila Muumini wa Dini hii ya haki akilaani kitendo hiki cha udhalilishaji. Kijana huyu ni mzaliwa wa Shinyanga Tanzania bara kabila ni msukuma. Alikuwa mkiristu kisha akaingia Uislam na baadae akarudi tena kwenye dini yake ya ukiristu.

Tafadhali samabaza ujumbe huu kwa wailsam wote duniani!

One Response so far.

  1. Anonymous says:

    Mungu atampa kipigo duniani na akhera pamoja na wapumbavu walomtuma kufanya kitendo hichi, laana duniani na akhera inshallah, hii ndo mijitu mijinga isokuwa na dini na kujipachika dini yeyote ile mradi apate kula pumbavu sana.

Leave a Reply