Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

MAJAJI WAAPISHWA NA RAIS

-
Rehema Mwinyi.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akimuapisha Mkusa Isaac Sepetu, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu ya Zanzibar leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akimuapisha Fatma Hamid Mahamoud, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu ya Zanzibar leo
Picha na Ramadhan Othman

Leave a Reply