Baadhi ya wahitimu wa digrii ya Udaktari wa Afya ya Meno(Doctor of Dental Surgery)
wakila kiapo cha uaminifu na utii wa miiko ya udaktari wakati wa Mahafali ya nne ya Chuo
Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi,Muhimbili iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo mchana

Rais Jakaya Kikwete akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Afya ya Jamii ya
Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) na Mkuu wa chuo hicho,
Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kushoto) wakati wa Mahafali ya nne ya chuo hicho yaliyofanyika
Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi, Dk Shukuru Kawambwa
(kulia)
na Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho, Deogratius Ntukamazina. (Picha na Fadhili Akida)

Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi,Muhimbili Rais Mstaafu,
Ali Hassan Mwinyi akimtunukia Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete Digrii ya Heshima ya
Udaktari wa Afya ya Jamii(Doctor of Public Health,Honoris Causa) wakati wa
mahafali
ya nne ya Chuo hicho iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kushoto akiangalia ni Makamu
Mkuu wa Chuo Profesa Kisali Pallangyo.

Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi,Muhimbili Rais Mstaafu, Ali Hassan
Mwinyi akimpongeza Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya
kumtunuku
Digrii ya Heshima ya Udaktari wa Afya ya Jamii(Doctor of Public Health,Honoris
Causa)
wakati wa mahafali ya nne ya Chuo hicho iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Picha na
Fadhili Akida na Freddy Maro/IKULU