Palikuwa pakitambulika kama Murambi technical school kablamauji ya Rwanda (Rwanda genocide)1994.Lakini sasa panaitwa Murambi memorial centre kwani ndio eneo ambalo mauaji makubwayalitokea.Tarehe 16 mwezi wa 4 mwaka 1994 watu wengi (tutsi)wanaokadiriwa kufikia 65,00 walikimbiliaeneo hilo la shule kujificha na waliweza kujitetea kwa mawelakini tarehe 21 wakazidiwa ambapo watu 45,ooo waliuwawa.Wengine walifanikiwa kukimbia ambapo walikimbilia kanisanilakini baada ya siku mbili nao waliuwawa baada ya mapadri kuwaita wauaji.
Kwa sasa Murambi pamebaki kama memorial centre,watu
hutembelea na kuona mabaki ya miili ya watu ambao walikufa
katika mauaji hayo.
Huyu alitambuliwa kwa kukutwa kitambulisho katika nguo zake
alikuwa akiitwa Patrick.
alikuwa akiitwa Patrick.
Mabaki ya mifupa ya watu
Hili ndio lile kanisa ambalo watu walikimbilia kujificha
wakijua ni
sehemu salama na mapadri wakawakaribisha wakidhani
wameokoka.
Dakika chache viongozi wa kanisa wakawaita wauaji
kilichofuata ni
mapanga.Kanisa lilikuwa linafahamika kwa jina la Chibeho.
wakijua ni
sehemu salama na mapadri wakawakaribisha wakidhani
wameokoka.
Dakika chache viongozi wa kanisa wakawaita wauaji
kilichofuata ni
mapanga.Kanisa lilikuwa linafahamika kwa jina la Chibeho.
Kanisa hili pia limebaki kama sehemu a makumbusho
kwani miili
haikutolewa iliachwa hapo hapo ambapo mpaka sasa
ndio
panaonekana hivi kama unavyoona pichani.
Hii yote ni mabaki ya miili ya watu kanisani humo,
nje tu ya kanisa
hili kumezikwa watu zaidi ya elfu 23 lakini idadi
ya ndani ilikuwa
ngumu kuhesabiwa kwa kuwa walikatwa katwa sana.
Picha zaidi kutoka kanisani humo

Miili kwa sasa imekauka
Hapa ni tofauti na kanisani hii ni sehemu ya memorial
centre ya
Murambi na hiyo ni mifupa ya wau ambayo
imekusanywa na
kuifadhiwa humo.
Hapa ni tofauti na kanisani hii ni sehemu ya memorial
centre ya
Murambi na hiyo ni mifupa ya wau ambayo
imekusanywa na
kuifadhiwa humo.
Mafuvu kama yanavyoonekana.
Jeneza hili ambalo linaonekana pichani likiwa pekee ni la
mwanamke ambae aliuwawa kikatili kwa kupasuliwa tumbo
kisha akachomwa mti sehemu za siri ukatokea kichwani na
ilikuwa karibu na pasaka.
mwanamke ambae aliuwawa kikatili kwa kupasuliwa tumbo
kisha akachomwa mti sehemu za siri ukatokea kichwani na
ilikuwa karibu na pasaka.
Hizi ni baadhi ya picha zinazopatikana hapo lakini kuna vitu
humo ndani ambavyo huwezi kuruhusiwa kuchukua picha kwa
kuwa vinatisha zaidi ya hizi picha tulizozipata.
humo ndani ambavyo huwezi kuruhusiwa kuchukua picha kwa
kuwa vinatisha zaidi ya hizi picha tulizozipata.
Kwa sasa Rwanda ni salama nhini ya raisi wao Paul Kagame.
Asante kwa Anod Kayanda kwa kutupa picha hizi na pole kwa
yule ambae zitakuwa zimemkwaza.
yule ambae zitakuwa zimemkwaza.
source dina marios blog.
dah kiukweli amani kitu mihimu sana hata kama nimasikini lakini ukiwa na amani inatosha hapa tu sijapata kushudia lakini hali nikama hivo. God keep them rest in peace.