Rais wa Zanzibar a Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wananchi wa Konde wilaya ya Micheweni Pemba,alipozindua kituo cha Afya na Nyukba ya Dakatari,katika shamra shamra za miaka 47 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Afya na Nyumba ya Dakatari, Konde Wilaya ya Micheweni Pemba,katika shamara shamra za miaka 47 ya Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na mkuu wa kituo cha afya Konde,baada ya kuzindua Kituo hicho, sambamba na Nyumba ya Daktari, ,katika shamra shamra za miaka 47 ya Mapinduzi
Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ADB,Prajesh akitoa hutuba yake kwa kuwashukuru wananchi wa Konde na Wizara ya Afya kwa kushirikiana pamoja kujenga kituo hicho cha afya na nyumba ya Dakatari,wakati hafla ya uzinduzi wa kituo hicho jana.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Kituo cha Afya Konde
Waziri wa Afya Mhe Juma Duni akitoa maelezo mafupi ya kituo cha Afya Konde
Wanafunzi nao pia walikuwepo katika uzinduzi wa kituo cha Afya cha Konde
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dk Jidawi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein akitoa salamu pamoja na nasaha zake baada ya kukizindua kituo cha Afya Konde leo
Picha zote na Ramadhan Othman Ikulu