Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

SHEREHE ZA MIAKA 47 YA LEO MAPINDUZI ZANZIBAR

-
Rehema Mwinyi.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la heshima kuadhimisha miaka 47 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amaan Stadium huko Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein(kulia) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) wakibadilishana mawazo jana wakati sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Mapinduzi ya Zanzibar uwanja wa Amaan Stadium mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein(kulia) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) wakiwa wamesimama kupokea maandamano ya wawakilishi wa wananchi kutoka mikoa mbalimbali za Zanzibar kwa ajili ya kusherekea ya miaka 47 ya Mapinduzi
Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba wakato wa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Mapinduzi ya Zanzibar 
Makamba-Katibu wa CCM Yusuph Makamba (kushoto) akiteta jambo na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba(kulia)jana mjini Zanzibar wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Mapinduzi ya Zanznibar 
Waziri wakuu wastaafu Dkt Salim Ahmed Salim (kushoto) na Fredrick Sumaye (katikati) wakibadilishana mawazo na Waziri Kiongozi Mstaafu Vuai Nahodha jana wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya mapinduzi ya Zanzibar. 

Leave a Reply