Jaji Mkuu wa Zanzibar(aliyestaafu leo) Hamid Mahmoud akifafanua jambo wakati akizungumza mara baada ya kuwaapisha Mahakimu wa Mkoa, Wilaya na Mrajis wa Mahakama Kuu Zanzibar jana(kulia ni Wakili maarufu, Hamid Mbwezeleni) Jaji Mkuu wa Zanzibar Hamid Mahmoud (kulia) akimwapisha Mrajis wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, George Joseph Kazi ( katikati) katika sherehe fupi zilizofanyika Mahakama
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akimwapisha Othman Masoud Othman kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu. Kabla ya kuteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu, Othman alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka (DPP).RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akimwapisha Omar Othman Makungu kuwa Jaji wa Mahakama

UNENE wa Alan Belmont umesababisha madaktari washindwe kuuona moyo wake. Kijana huyo alishtuka baada ya madaktari kumweleza kuwa mashine zao hazikuwa na uwezo wa kupenya kwenye 'manyama nyama' yake ili kufahamu mapigo ya moyo. Soma hapo chini A man who weighs 34 stone has finally decided to lose weight after doctors were unable to detect his heart beat because he was so FAT. Alan Belmont,

Rais Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi, ‘Vodacom Group’ , Pieter Uys, (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare (kushoto) na Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni hiyo, Mwamvita Makamba, wakati wa ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Dar es Salaam juzi kwa ajili ya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali

Justin Bieber, the new sensation in pop music, admitted recently that until he became famous he lived on the step of poverty. The teenage star, who became a phenomenon in showbiz, sold more than two million albums, but before being famous, Justin and his mother Pattie Mallette were very poor. They could not live without the donations from the local church and Justin even had to sing on the street
MAKAMO wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akishuka kutoka kwenye ndege wakati alipowasili katika Uwanja wa kimataifa wa Abeid Karume akitokea nchi za nje alipokuwa katika ziara ya kiserikali pamoja na matibabu.MAKAMO wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akivishwa shada la maua alipowasili nyumbani MAKAMO wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif

Last of the Hollywood greats: Dame Elizabeth Taylor has died in hospital aged 79 of congestive heart failureHer last show: Elizabeth was snapped celebrating her 79th birthday a month early in January before she was admitted to hospital a few days after Dame Elizabeth Taylor, one of the 20th Century's biggest movie stars, has died in Los Angeles at the age of 79. The double Oscar-winning actress

Maandamano ya wanafunzi UingerezaSheria za kupata viza za wanafunzi nchini Uingereza zinatarajiwa kuwa ngumu zaidi- baada ya kuibuka wasiwasi kuwa mbinu za kuingia nchini humo kwa minajil hiyo hutumiwa kiudanganyifuWaziri wa mambo ya ndani Theresa May alisema viza za wanafunzi hazitumiwi inavyotakiwa na "wengi wamekuja hapa kufanya kazi na si kusoma".Alitangaza mpango wa kupunguza idadi ya viza

WATU wapatao 13 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa vibaya katika ajali ya basi aina ya Coaster lenye namba za usajili T 361 BGE lililokuwa limebeba wanamuziki wa kundi la Five Stars Modern Taarab waliokuwa wakitokea Kyela-Mbeya kueleka jijini Dar. Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa mbili usiku ndani ya hifadhi za wanyama za Mikumi mkoani hapa, baada ya gari hilo kuligonga kwa nyuma roli aina
Hawa ndo baadhi ya wanamziki wa Five Star Modern TaarabWANAMUZIKI WA BENDI YA FIVE STAR MODERN TAARABU ZAID YA 10, WAMEPOTEZA MAISHA KWA AJALI YA GARI HUKO MOROGORO ENEO LA MIKUMI NA WENGINE KUJERUHIWA VIBAYA SANA NA HALI ZAO NI MBAYA. GARI HILO LILIKUWA NA WATU 22, LAKINI WAMENUSURIKA 5, HUKU WATATU WAKIWA WAMEUMIA KIDOGO. KWA MUJIBU WA VYANZO VYA HABARI INADAIWA GARI HILO LILIKUWA KWENYE MWENDO