Taarifa fupi juu ya uvumi wa kuonekana meli iliyozama Mkurugenzi wa Kaimu Mkurugenzi, Abdallah Kombo anaelezea uvumi huo ulivyokuwa sio wa kweli, leo alikutana na wanadishi wa habari kuelezea suala hilo katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi la zamani pamoja na mambo mengine alikanusa suala hilo.Baada ya kulifuatilia suala hili la kuionekana meli huko Nungwi kwa
njia tofauti leo hii serikali imetoa ufafanuzi kufuatia masuala
waliouliza waandishi wa habari katika kikao chake kati ya waziri wa
wizara ya mawasiliano na wakurugenzi pamoja na waandishi wa habari,
serikali imesema kwamba uvumi ulioenezwa jana usiku kwamba kuna meli
ya Mv. Spice imeonekana katika eneo la bahari ya Nungwi halina ukweli
kwa kuwa meli iliyoonekana lakini meli hiyo kwa mujibu wa wafanya
doria wamegundua kitu kwa mbali sana ambacho imeonekana katika kina
cha maji mita 280. position Lat 05 34. 52 S Long 039 11.881 E jina
lake CHUENJIN. Namba CT 4-2905 Scube du wana doria hao walikwenda na
kuiona athari ya bomu. Chombo kipo maili 13 kutoka Mwanawa wa Mwana na
maili 13 kutoka Tanga. Meli hiyo ni ndogo na haijaonekana kama
unazungukwa na kitu chochote. lakini mamlaka husika taayri
zimeshawasiliana na taasisi zinzohusika na masuala hayo huko Mombasa
Kenya na pia Dar es Salaam
Mamlaka ilifuatilia leo tena asubuhi na kwa kutumia chombo cha shirika la badnari na wataalamu wa KMKM na mnamo saaa 7:30 za mchana wataalamu hao walifanikiwa kuiona meli hiyo ikiwa sehemu ifuatayo ilikuwa ni meli ya uvuvi, na ilikuwa ikipepea bendera ya China,Meli hiyo ilikuwa umbali wa 15.8. kutoka pangani na kutoka Nungwi na maili kutoka Malindi mnapenda kuelezwa kwamba uvumi kuwa Mv. Spice sio kweli bali ni meli ya kichina na imezama aktika bahari katika maeneo ya nje ya Tanzania lakini imechukuliwa na maji hadi Tanzania.
Taarifa juu ya uvumi wa kuonekana kwa meli ya m.v spice iliyozama mwaka jana katika mkondo wa nungi.
Categories: