Taarifa zakuthibitika zilizo tufikia zinasema muigizaji Steven Kanumba amefariki dunia usiku huu na mwili wake uko Muhimbili. Tutazidi kuwaletea habari kadri tutakavyo kuwa tunazipata.
R.I.P Kanumba
Categories:
Leave a Reply
Sponsor
About Me
Rehema Mwinyi.
Administrator
Global Center for Kiswahili Studies and Advancement.
The State University of Zanzibar.
American Corner Building, Vuga Zanzibar.