| wadau |
| Ruge akiwa na waheshimiwa |
| Tajiri mkubwa na mpenda watu mpenda filamu,mpira na nk Musa K akiwa amefika kufariji wafiwa |
| monalisa,Millen&Ruge
mpaka dakika hii Lulu amekataa kutoa ushirikiano na polisi, akisema anapenda kwanza Lawyer wake afike na chochote atakachoongea kiwe recorded.
|

Lulu, nakuomba mdogo wangu. Tuliza akili yako, na umwombe MWNYZ MUNGU akujalie ujasiri na uvumilivu ktk jambo hili zito linalo kukabili. Kiburi na maneno yasiyo na maana kwa jamii yatakumaliza.