Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA LULU

Lulu (katikati) akiingia mahakamani na askari magereza wa kike. Kamera zikimfuata kwa shauku. Hapa ni karibu na mlango wa kuingia katika chumba cha mahakama. Msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, leo amepandishwa tena kizimbani mara ya tatu katika kesi ya mauaji ya Kanumba inayomkabili ambapo mawakili wanaomtetea wakiongozwa na Kennedy Fungamtama waliwasilisha ombi la

[ Read More ]

MKAPA KIZIMBANI MAHAKAMA YA KISUTU

Mkapa akiingia Mahakama ya Kisutu kutoa ushahidi. Akisindikizwa kuelekea kizimbani. Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, leo amepanda kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kuhojiwa na mawakili wa serikali na wanaomtetea aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Italy, Costa Mahalu, kwenye kesi ya ufujaji fedha katika ununuzi wa jengo la ubalozi inayomkabili

[ Read More ]

TUMSAIDIE WASTARA NA SAJUKI KWENYE HILI

Mimi na wewe tuungane Tumsaidieni ndugu yetu msanii wa filamu SAJUKI anaumwa na anahitaji kwenda kutibiwa INDIA mapema iwezekanavyo!! Waweza kumchangia kupitia  AKIBA BANK Account number 050000003047 Jina la mwenye account ni mkewe  WASTARA JUMA au M PESA Number 0762189

[ Read More ]

PLEASE MUST READ CAREFULLY.

A 21 year old guy had worn a pair of contact lenses during a barbecue party.(An event or meal at which food is cooked outdoors over an open grill or fire) While barbecuing he stared at the fire charcoals continuously for 2-3 minutes. After a few minutes, he started to scream for help and moved rapidly, jumping up and down. No onein the party knew why he was doing this? Then he admitted into

[ Read More ]

PRESIDENT OBAMA AKISALIMIANA NA WAJESHI WAKE

[ Read More ]

In Afghanistan, Obama pledges cooperation, vows to 'finish the job'

Kabul, Afghanistan President Barack Obama, speaking early Wednesday in Afghanistan at the tail end of a surprise visit there, discussed how the war will end and promised a steady drawdown of U.S. troops. Obama committed to pulling 23,000 troops out of the country by the end of summer and sticking to the 2014 deadline to turn security fully over to the Afghan government. He said

[ Read More ]

MASAA 2 BAADA YA OBAMA KUTOKA AFGHANISTAN, MABOMU YALIPULIWA

KABUL, Afghanistan, The Taliban struck back less than two hours after President Barack Obama left Afghanistan on Wednesday, targeting a foreigners' housing compound with a suicide car bomb and militants disguised as women in an assault that killed at least seven people. It was the second major assault in Kabul in less than three weeks and highlighted

[ Read More ]

OBAMA SUPRISE VISIT TO AFGHANISTAN

President Obama akiwasili Kabul Afghanistan unannounced jana, ili kusign na kusisitiza kumaliza Vita nchini humo na kuondoa majeshi ya kimarekani nchini humo. His unannounced trip was Obama's third visit to Afghanistan since taking office. It coincided with the first anniversary of the U.S. raid that killed Osama bin Laden in neighboring Pakistan, and comes as Obama is fighting for re

[ Read More ]