Bwana Hassan Simba Hassan SUZA Public Relation Officer.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo -Taaluma Dr. Haji Mwevura akimkabidhi WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Muheshimiwa Haroun Ali Suleiman cheti maalumu cha shukurani kwa mchango wake mkubwa alioutoa wakati alipokua waziri wa elimu .
WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Muheshimiwa Haroun Ali Suleiman.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo -Taaluma Dr. Haji Mwevura
WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Muheshimiwa Haroun Ali Suleiman akimshukuru
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo -Taaluma Dr. Haji Mwevura
Kutoka kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo -Taaluma Dr. Haji Mwevura, Bwana Hassan Simba Hassan SUZA Public Relation Officer, Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Muheshimiwa Haroun Ali Suleiman