Mwili wa mwanamke wa India ambaye amefariki hospitalini nchini Singapore baada ya kubakwa kinyama mjini New Delhi ulitarajiwa kurejeshwa nyumbani siku ya Jumamosi (29 Disemba). Balozi wa India nchini Singapore, T. C. A Raghavan amewaambia waandishi habari kwamba mwanamke huyo alifariki kutokana na viungo vyake kushindwa kufanya kazi akiwa anapatiwa matibabu. Endelea…