Polisi ya Marekani inasema inawezekeana muuaji Adam Laza mwenye umri wa
miaka 20 alimuuwa mama yake kwanza Nancy Lanza kwa kumpiga risasi
nyumbani kwao kabla ya kufanya mauaji ya watu 26, kati yao watoto 20
wenye umri usipindukia miaka 10, kwenye skuli ya ya Newton, Connecticut,
alikuwa na matatizo ya akili. Hadi sasa serikali haijazungumza
hadharani juu ya kile kinachowezekana kuwa dhamira ya mauaji hayo na
polisi hawakugundua taarifa yoyote ile iliyowachwa na muuaji huyo ambaye
alikuwa hana rekodi ya uhalifu. Endelea…
Categories: