
Goldie Harvey enzi za uhai wake. Goldie akiwa na mchumba wake Prezzo. MWANAMUZIKI kutoka nchini Nigeria, Goldie Harvey ambaye pia ni mchumba wa msanii Prezzo amefariki dunia.Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya nchini Nigeria, Goldie amefariki dunia akiwa hopitalini nchini humo muda mfupi baada ya kutoka nchini Marekani alipohudhuria tuzo za Grammys. Prezzo hakupatikana kudhibitisha tukio