Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea Kitambulisho cha Taifa kutoka
kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Perera Ame Silima,wakati wa
Utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa
Zanzibar,katika hafla iliyofanyika jana viwanja vya Baraza la
Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

Dk.Ali Mohamed Shein,akikaribishwa na Mkurugenzi Mkuu wa vitambulisho
vya Taifa,Dicson Maimu,alipowasili katika viwanja vya Baraza la
Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,katika Utoaji wa
vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar.[Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]

kidole Gumba kufanya uhakiki katika mashine maalum,wakati wa Utoaji wa
vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar,katika
hafla iliyofanyika jana katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi
Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Kificho,akiweka kidole Gumba kufanya uhakiki katika mashine
maalum,wakati wa Utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa
upande wa Zanzibar,katika hafla iliyofanyika jana katika viwanja vya
Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]

Mamlaka ya vita mbulisho wakiwa katika hafla ya Utoaji wa
vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar,katika
hafla iliyofanyika jana katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi
Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Mwamunyange, akiweka kidole Gumba kufanya uhakiki katika mashine
maalum,wakati wa Utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa
upande wa Zanzibar,katika hafla iliyofanyika jana katika viwanja vya
Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]

Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akimkabidhi kitambulisho
Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,wakati wa Utoaji wa
vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar, hafla
ilifanyika jana katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje
ya Mji wa Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akimkabidhi kitambulisho Jaji
Mkuu wa Tanzania,Mohamed Chande Othman, wakati wa Utoaji wa
vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar,katika
hafla iliyofanyika jana viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani,
Nje ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Naibu waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi Perera Ame Silima,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akimkabidhi kitambulisho Jaji
Mkuu wa Zanzibar,Omar Othman Makungu,wakati wa Utoaji wa
vitambulisho vya Taifa,awamu ya kwanza kwa upande wa Zanzibar,katika
hafla iliyofanyika jana katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi
Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akimkabidhi kitambulisho Mama
Maria Nyerere,wakati wa Utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya
kwanza kwa upande wa Zanzibar, hafla ilifanyika jana katika viwanja
vya Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar,[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]