Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

Tsunami hits Japan after massive quake

Dunia inakubwa na matukio makubwa kila wakati yenye kutisha kila uangaliapo habari za ulimwengu utastaajabu today ni japan tunaambiwa .M7. QUAKE HITS JAPAN, japan earthquake warming of 6 metre high trunami issued



Kwa kweli tumemsahau mungu haijawahi tokea watu wengi wanahofiwa kujeruhiwa magari yamebebwa na maji na majumba kadhaa yana wakamoto yakisombwa na maji inatisha jamani sasa ni 8.9 magnitude na tayari viwanja vya ndege tokyo vimefungwa angalia cnn inasikitisha

No way its a very big earthquake now is 8.8 magnitude majumba yanatikisika c kitoto huko north japanNa tukio hl co japan peke yake watu wasiende kwenye fukwe za maji wameonywa wakae sehem tambarare.





[ Read More ]

5 year old needs a job before getting married - funny!

[ Read More ]

Mariah Carey Baby Shower!

 Proud parents-to-be Mariah Carey and Nick Cannon recently held their baby shower on march 6, at the rooftop Conservatory Grill at the Montage hotel in Beverly Hills. Guests included celeb pals Randy Jackson, Piers Morgan, Penny Marshall, Lorraine Bracco, andBrett Ratner. They nibbled on a selection of gourmet pizzas and appetizers and enjoyed Mariah's very own drink, Angel.  

Mariah tells the new issue of Life & Style, "I'd never been to a baby shower. This was my first one -- it was so festive!''...
There was a 6-foot-long gift table filled with tiny outfits, books and stuffed animals but Mariah Carey said the best gift came from her fans.
 "There was a lot of love in the room, and to top it off, fans from more than 50 countries sent well-wishes and stories in a book they made for our twins titled Always Be My Babies which was the sweetest gesture in the world. It was a night I will never forget." 

[ Read More ]

Wengi Wafurika Kupata Tiba ya Ukimwi Kwa Tsh 500 tu.!

Watu waklikinga vikombe kupata dawa kutoka kwa Mchungaji mstaafu wa Kanisa la KKKT,  Ambikile Mwasapile nyumbani kwake Kijiji cha Samunge,Ngorongoro.Hutibu magonjwa ya Ukimwi na merngine sugu kwa sh 500 tu.

  Gari inayoonyesha namba za usajili SM, ni mali ya Manispaa ya Arusha. Gari hili ni moja ya magari ya Serikali yakiwa nayo yanasonga mbele kwenye foleni ya kunywa dawa inayogawiwa na mchungaji Mwasapile kwa kikombe abiria wakiwa humohumo ndani ya gari.
 misururu ya magari mbali mbali iliyoleta wagonjwa na wasio wagonjwa kwenda kunywa dawa dawa ya Mugariga katika kijiji cha Samunge wilayani Loliondo, aliyooteshwa na Mzee Mwasapile mwaka 1991.


 Watu wakiwamo waasia mbalimbali kutoka Mkoa wa Arusha, Manyara na sehemu kadhaa za Tanzania na nje ya Nchi wakisubiri dawa ya Mugariga kwa ajili ya kujitibu. 
----
MAELFU ya watu, wakiwemo vigogo wa serikali, wabunge na wafanyabiashara wakubwa nchini, wamefurika katika Kijiji cha Samunge Tarafa ya Sale wilayani Ngorongoro kupata 'dawa ya maajabu ya Mungu' inayodaiwa kutibu magonjwa mengi sugu ikiwamo Ukimwi.

Helkopta za wafanyabiashara na magari zaidi ya 1,000 yakiwamo magari ya serikali, binafsi na mashirika ya kimataifa ikiwamo Umoja wa Mataifa (UN) na Jumuiya ya Afrika Mashariki, yamefurika katika kijiji hicho kilichopo umbali ya takriban kilometa 400 kutoka Jiji la Arusha.


ila usitegemee kufika leo wala kesho manake unaambiwa

msafara kwa kwenda kwa babu ndo kama hivi....


[ Read More ]

happy women's day

[ Read More ]

Baby Laughing Hysterically at Ripping Paper

[ Read More ]

Babu afurahishwa na style ya nywele ya mjukuu wake

[ Read More ]

MARIAH CAREY SISTER ALISON IS AN HIV POSITIVE PROSTITUTE!!!!

How can you be on the top of the world while ur family member is selling her body for $250 per hr? Damn i was so shocked when i ready this on Bossip...so sad and on top of that she is HIV positive and a mother of four kids. She claims that! she did reach out to her family but they ignore her.
[ Read More ]

KIM KARDASHIAN - NEW SINGLE “JAM (TURN IT UP)"

Early this morning, Kim Kardashian visited the Ryan Seacrest Show and debuted her brand new single, ‘Jam,’. The Vegas nightclub inspired single was produced by The Dream and includes lyrics such as “Got my hands up, celebrate like it’s my birthday, five more shots of tequila, I’m thirsty.
The video, directed by legendary music video director Hype Williams, premieres to the world on Sunday night.
[ Read More ]

Jaribio La Mapinduzi Lazimwa Congo



Habari kutoka Kinshasa zinaeleza kuwa watu saba wameuawa baada ya kufanya jaribio la kumpindua Rais Joseph Kabila katika makazi yake.

Watu hao waliuawa na walinzi wa Rais Kabila, kwa mujibu wa maelezo ya msemaji wa Ikulu ya nchi hiyo.

Mwandishi wetu Lubunga Bya'Ombe akiwa Kinshasa amethibitisha kumetokea taarifa hizo. Hata hivyo watu waliohusika bado hawajajulikana.

Taarifa zaidi tutawaletea kadri zitakavyokuwa zikipatikana.
BBC Swahili.
[ Read More ]