Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

Just In: Rais Jakaya Kikwete Ateua Wabunge Wapya Watatu Zakhia Meghji Na Shamsi Vuai Nahodha Waula


Ndugu Shamsi Vuai Nahodha
Zakia Hamdan Meghji
-------------
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete,amefanya uteuzi wa Wabunge watatu(3)kwa mujibu wa Ibara ya 66 (1)(e)ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, kama ilivyorekebishwa na kupewa mamlaka ya kuteua Wabunge 10.

Wabunge walioteuliwa ni Ndugu Shamsi Vuai Nahodha,Prof.Makame Mnyaa Mbarawa na Ndugu Zakia Hamdan Meghji.

Rais atateua wengine waliosalia siku zijazo.

Rais Kikwete ameshawasilisha majina ya wateule hao kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Anne Semamba Makinda(Mb)kwa ajili ya hatua zipasazo.

MWISHO

Imetolewa na Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu.
Dodoma
17 Novemba, 2010
[ Read More ]

GOOD MORNING, HAVE A NICE DAY.

[ Read More ]

[ Read More ]

My Persian kitten with doll face...so sweet..



[ Read More ]

MAWAZIRI WAAPISHWA IKULU LEO NA RAIS


RAIS wa Zanzibar Akimuapisha Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakari (CUF)

RAIS wa Zanzibar akimuapisha Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Hamad Masoud Hamad. (CUF)

RAIS wa Zanzibar akimuapisha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ram adhaan Abdalla Shaaban ( CCM)

RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mahamed Shein akimuapisha Waziri wa Afya Juma Duni Haji (CUF)

RAIS wa Zanzibar akimuapisha Waziri wa Ustawiwa Jamii na Maendeleo ya Wanawake na Watoto, Zainab Omar Mohamed (CCM)

RAIS wa Zazibar Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Waziri wa Habari, Utamaduni,Utaliina Michezo. Abdilah Jihad Hassan (CUF)

RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akimuapuisha Waziri wa Ardhi, Makaazi 
Maji  na Nishati Ali Juma Shamhuna. (CCM)


 
RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akimuapuisha Waziri wa Kilimo na Maliasili Mansoor Yussuf Himid.( CCM)
RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Waziri wa Biashara Biashara, Viwanda na Masoko, Nassor Ahmed Mazrui. (CUF )


RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Waziri wa Mifugo Na Uvuvi Said Ali Mbarouk (CUF)


RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wananchi na Uchumi Haruon Ali Suleiman (CCM )


 
RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum Suleiman Othman Nyanga. (CCM)


RAIS Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum Machano Othman Said. (CCM)


 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum Haji Faki Shaali.( CUF )


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekitui wa Baraza la MAPINDUZI Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Naibu Waziri wa Habari Utamaduni,Utalii na Michezo Bihindi Hamad kHAMIS. ( CCM )
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Naibu Waziri Ardhi, Makaazi, Maji na Nsharti Haji Mwadini Makame. ( CUF )

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapionduzi Dk. AliMohamed Shein akimuapisha Naibu Waziri wa Afya Sira Ubwa Mwamboya. ( CCM )
  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein  akimkabidhi hati yake ya kiapo Naibu Waziri wa Elimu  na Mafunzo ya Amali Zahra Ali Hamad. ( CUF )

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi. ( CCM ) 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed  Shein akimkabidhi hati yake ya kiapo Naibu Waziri wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi. 

NAIBU Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Thuwaiba Edington Kissasiakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.  
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo Naibu Waziri wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Thuwaiba Edington Kissasi ( CCM )

WANANCHI  wakihudhuria sherehe za kuapishwa Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar iliofanyika Viwanja vya Ikulu. 
VIONGOZI wa Serikali wakishuhudia kuapishwa kwa Baraza la Mawaziri iliyofanyika Viwanja vya Ikulu Shangani.
[ Read More ]

ADVICE

Don’t ever go into anything because someone
else is making name from it. Go into something
because you have a talent in it. We must try 
and discover our own talents - that is the only 
way to move forward in life.
[ Read More ]

WISH YOU EID AL ADHA MUBARAK.





[ Read More ]

[ Read More ]

BARAZA LA MAWAZIRI LATAJWA LEO

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Vifungu 42 (1) na (2), 43 (1) na (2) na 47 vya Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein ameunda Wizara 16 na kuwateua Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi, Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:


1. Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi-

Mhe. Dr. Mwinyihaji Makame

2. Ofisi ya Rais (Fedha, Uchumi na Mipango ya Maendeleo)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Fedha, Uchumi, na Mipango ya Maendeleo)

Mhe. Omar Yussuf Mzee

3. Ofisi ya Rais, (Utumishi wa Umma na Utawala Bora)-

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi wa Umma na Utawala Bora)

Mhe. Haji Omar Kheri

4. Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais

Mhe. Fatma Abdulhabib Fereji.

5. Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais-

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais

Mhe. Mohammed Aboud Mohammed

6. Wizara ya Katiba na Sheria

Mhe. Aboubakar Khamis Bakary.

7. Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano

Mhe. Hamad Masoud Hamad

8. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali

Mhe. Ramadhan Abdulla Shaaban

9. Wizara ya Afya

Mhe. Juma Duni Haji

10. Wizara ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Wanawake na Watoto

Mhe. Zainab Omar Mohammed

11. Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo

Mhe. Abdilahi Jihad Hassan

12. Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati-

Mhe. Ali Juma Shamhuna

13. Wizara ya Kilimo na Maliasili

Mhe. Mansoor Yussuf Himid

14. Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko

Mhe. Nassor Ahmed Mazrui

15. Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Mhe. Said Ali Mbarouk

16. Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika

Mhe. Haroun Ali Suleiman

17. Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiekuwa na Wizara Maalum

Mhe. Suleiman Othman Nyanga

18. Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiekuwa na Wizara Maalum

Mhe. Haji Faki Shaali

19. Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiekuwa na Wizara Maalum

Mhe. Machano Othman Said

Aidha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohammed Shein ameteua Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:

1. Naibu Waziri, Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano

Mhe. Issa Haji Ussi

2. Naibu Waziri, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali

Mhe. Zahra Ali Hamad

3. Naibu Waziri, Wizara ya Afya

Mhe. Dr. Sira Ubwa Mamboya

4. Naibu Waziri, Wizra ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo,

Mhe. Bihindi Hamad Khamis

5. Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati

Mhe. Haji Mwadini Makame

6. Naibu Waziri, Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko,

Mhe. Thuwaiba Edington Kissasi

Waheshimiwa wote waliotajwa wanatarajiwa kuapishwa hapo kesho jioni katika viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar
[ Read More ]

MORNING, HAVE A NICE DAY.


[ Read More ]