Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

HAPPY NEW YEAR...

Namshukuru Mwenyezi mungu kwa kunijalia kuuona mwaka mpya wa kiislam na pia mwaka 2010..pia napenda kuwashkuru wale wote walionisupport kwa njia moja au nyengine ktk kuufanya mwaka 2009 kuwa so special...especial my belove mama. i love you mama.ila nawashkuru all hater kwa kunichukia na pia kunikatisha tamaa kuwa sitaweza kufanya kitu..kupitia chuki zao zimenifanya kuwa jasiri na kuwa na moyo wa

[ Read More ]

HAPPY ISLAMIC NEW YEAR.Muharaam

                                     Nawatakia wadau wote furaha ya mwaka mpya wa kiislam.                                           MAY ALLAH BLESS YOU ALL...AMIN.         

[ Read More ]

ZANZIBAR BILA YA UMEME KWA MARA NYENGINE TENA.

Tanzania bila Ufisadi tutafika?Je Zanzibar Bila Umeme inawezekana?Kuchaji simu 500,Saluni kichwa 2000,Soda 1000,Juice 500,Barafu 200,Maji ya kawaida hayapatikani,Wanaofaidika sasa ni Wazinifu na wizi,Sasa wewe ulioko nje ukijaribu kupiga simu kwa ndugu zako ZNZ usishtuke zikiwa zimefungwa ufahamu hakuna matatizo ila ni umeme tu. Waziri wa maji ameshatangaza mapema mwakani (2010) umeme utapatikana,Je

[ Read More ]

Miss Gibraltar is Miss World '09

Miss Gibraltar, Kaiane Aldorino has been crowned the Miss World 2009. The first runner up is Miss Mexico Perla Beltran and South Africa's Tatum Keshwar came up second runner

[ Read More ]

[ Read More ]

[ Read More ]

Mahakama yaamuru hoteli ya Bwawani ipigwe mnada

Mahakama Kuu Zanzibar, imeamuru kupigwa mnada Hoteli ya Kimataifa ya Bwawani inayomilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) baada ya kushindwa kulipa deni la mchele la Sh. trilioni 1.6 kwa muda mwafaka.Uamuzi huo ulitolewa baada ya kampuni ya Leamthore Rice Ltd kutoka nchini Thailand kushinda kesi ya madai namba 4 ya mwaka 1997, dhidi ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.Katika kesi hiyo, kampuni

[ Read More ]