Aliyekua Mgombea Urais wa Zanzibar ambaye pia ni Waziri kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Shamsi Vuai Nahodha akisalimia baadhi ya wanachama wa CCM mjini Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza kikao cha Kamati Kuu ya CCM ambacho muda mfupi uliyopiuta umetoa jina lake kwenye mapmbano huo na kubaki kwa wagombea wawili kati ya Dr Shein na Dr Gharib Bilal.