Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

MAALIM SEIF AAPISHWA LEO,KUWA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS

-
Rehema Mwinyi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,(kushoto)akimuapisha Makamo wa Rais wa Kwanza Maalim Seif Sharif Hamadi,wa CUF leo,Ikulu Mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,(kushoto)akimuapisha Makamo wa Rais wa Pili Balozi Seif Ali Iddi,wa Chama Cha Mapinduzi,CCM katika hafla Iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu,Zanzibar.

Leave a Reply