MSANII Mkongwe Marehemu Bakari Abeid, hatunae tena baada ya kufariki dunia leo asubuhi nyumbani kwake Mbuyu Mnene Kiembesamaki na kuzikwa leo katika makaburi ya mwanakwerekwe na kuhudhuriwa na Wananchi mbalimbali na Wasanii.
Mungu ailaze paha pema peponi Amin.