Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

Shahidi akitoa ushuhuda kuhusiana na kutupwa kwa vichanga 11

[ Read More ]

UKATILI: MAITI ZA VITOTO 11 ZAFUKULIWA SHIMO MOJA.

KATIKA hali isiyo ya kawaida, wakazi wa Mwananyamala Kwakopa, jijini Dar es Salaam wamepatwa na mshituko mkubwa baada ya kaburi moja kugundulika jana (Jumatatu) likiwa na watoto 11 waliozikwa ndani yake, tukio lililoelezwa kuwa ni ukatili wa kutisha, Uwazi lina habari kamili. Habari zilizolifikia gazeti hili jana zilieleza kuwa mkazi mmoja wa eneo hilo aliyefahamika kwa jina moja la Thabiti 

[ Read More ]

WASHIRIKI WA SHINDANO LA KISURA WA TANZANIA 2011 WAANZA KAMBI.

Pichani kati Mwenyekiti na Mwanzilishi wa mradi wa Kisura wa Tanzania (BTA), Juliana Urio,akizumgumza na baadhi ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusina kuanza kambi wa warembo wa shindano la Kisura wa Tanzania 20110.kushoto ni Meneja masoko wa SBC,Bwa.George Michael,Afisa Mipango Ujana wa FHI Bwa.Aziz Itaka,Mwisho kabisa ni Meneja Masoko wa ATCL,Bwa. Musyangi KajeriWAREMBO wanaowania

[ Read More ]

ZAIDI YA WAGONJWA 263 WA FESTULA NA MDOMO WA SUNGURA WAMENUFAIKA NA HUDUMA YA M PESA

Mkurugenzi msaidizi wa hospitali ya CCBRT Haika Mawala akimkaribisha Mkurugenzi wa mahusiano na Vodacom Foundation Mwamvita Makamba wa pili toka kushoto akiambatana na Mkuu wa kitengo cha Safaricom Foundation-Kenya Sanda Ojiambo walipotembelea hospitali ya CCBRT kwa lengo la kujionea jinsi gani huduma ya Vodafone M pesa inavyosaidia wagonjwa wa fistula na mdomo wa sungura kwa kutumiwa fedha za nauli

[ Read More ]

NIZAR KHALFANI AENDELEA KUNG'ARA NYUMBANI NA CANADA

Mchezaji nyota wa Vancouver Whitecaps ya jijini Vancouver huko British Columbia, Canada, akiwa anafundisha watoto kuliskata kabumbu maeneo ya Tabata jijini Dar alipokuja kuchezea Taifa Stars. Nizar amekuwa lulu kwa timu hiyo ya kulipwa na Taifa Stars, yote hii ikitokana na kujituma, nidhamu na kupenda kazi yake. Ni mfano wa kuigwaNizar ana mashabiki wengi watoto kwa wakubwa na anapeperusha vilivyo

[ Read More ]

Nelson Mandela discharged from hospital in South Africa

 South African former President Nelson Mandela has been discharged from a hospital where he spent two nights.Surgeon General Vejaynand Ramlakan said Mr Mandela, 92, was suffering from ailments that are common in people his age but was in good spirits. Deputy President Kgalema Motlanthe - using Mr Mandela's clan name - said: "Madiba is well." South Africa's liberation hero flew from Cape Town

[ Read More ]

Mandela 'very sick,' But Not in Danger

South Africa's revered former president Nelson Mandela was Thursday described as "very sick" but his condition was "not life-threatening." The news that Madiba -- the clan name by which the 92-year-old Nobel Peace Prize winner and country's first elected black leader is affectionately known -- was to spend a second night in hospital has gripped the nation. The public has grown increasingly concerned

[ Read More ]

MTANZANIA AFUNGWA MAISHA MAREKANI!!!!

Mfungwa wa kwanza katika jela ya Guantanamo kushtakiwa kwenye mahakama ya kiraia, Ahmed Ghailani kutoka Tanzania amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani. Hukumu hiyo ilitolewa na mahakama ya jimbo la Manhattan. Ghailani alipatikana bila hatia mwaka jana, katika kesi ambayo alishtakiwa kwa mauaji pamoja na mashtaka mengine kuhusiana na mashambulizi ya kigaidi ya mwaka 1998 katika balozi za Marekani

[ Read More ]

KESI YA JERRY MURO ILIVYOUNGURAMA LEO

MAHAKAMA ya Hakimu mkazi Kisutu imepokea pingu, miwani na hati ya upekuzi katika kesi ya kuomba rushwa ya sh milioni 10 inayomkabili aliyekuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC1) Jerry Muro kama kielelezo cha ushahidi katika kesi hiyo.Vielelezo hivyo viliwasilishwa jana mahakamani hapo na Ofisa wa Polisi dwani Nyanda ambaye ni shahidi wa sita katika kesi hiyo, mbele ya Hakimu Mkazi

[ Read More ]