Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

HARAMBEE YA "SAIDIA GONGO LA MBOTO" READING YAFANA

-
Rehema Mwinyi.



Tunapenda kutoa shukrani zetu za Dhati kwa watanzania wote  waishio  Reading UK walioweza Kuja Leo mchana Vincent  kuchangia wahangwa wa Gongo la Mboto  Tanzania. Kwa mda wa saa moja tumekusanya Jumla ya  pesa taslim Pounds £200 Pia tumekusanya Nguo nyingi kutoka kwa watu mbalimbali. Tafadhali Kumbuka bado hujachelewa kwa wakazi wa Reading ambao hawakuweza kufika leo mnaweza kupeleka michango yenu Vincent siku ya mwisho ya kukusanya ni jumanne ijayo tarehe 1.3.11.

Ningependa kutoa shukrani za dhati kutoka URBAN PULSE,MISS JESTINA BLOG,AIL TV, LOCUS IMPEX SHIPPING CO, SHILLA FRISCH, MRS NASIBU, MRS NTULLY SCHULZ NA Utawala wa Vincent Restaurant Reading kwa kusaidia zoezi la leo.

Mungu Ibariki Africa, Mungu Ibariki Tanzania
Asanteni
"SAIDIA GONGO LA MBOTO"
 wadau wa UK wakifuatilia mpango mzima wa Harambee
 Mdau akichangia
 Mkurugenzi Mtendaji wa LOCUS IMPEX SHIPPING MR B CHISUMO akifungua Harambee
 Mtoto Chanele akimpa Mchango wake Miss Jestina
Toa Ndugu Imeanza 
Toa Ndugu ikiendela 
 Jestina Akiwa kazini
 Frank Kutoka Urban Pulse akiwa na tina kutoka Miss Jestina Blog wakila pozi baada ya harambee
Baada ya kazi, kutoka kushoto JJ, Chisumo, Miss Jestina,Gardol na Frank

Leave a Reply