BENDI ya Kikosi cha Askari Magereza wakiongoza Maandamano ya Uzinduzi wa Tamasha la Sauti ya Busara Zanzibar likipita mitaani wakati wa sherehe zahizo. |
WASANII wakishiriki maandamano ya Uzinduzi.
NAO wacheza ngoma ya Mbwa kachoka(beni) wakiwa katika maandamano ya uzinduzi wa Tamasha la Busara Zanzibar.
WASANII wa ngoma ya Benbati nao hawako nyuma katika maonesho ya Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi. |
WANAWAKE wakiwa katika Vazi la kucheza Ngoma ya Mwanadenge wakipita mitaani katika uzinduzi wa tamasha la Sauti ya Busara Zanzibar. |
MSANII Mkongwe wa Zanzibar Halikuniki akiwa na Zumari kupiota wote wakiwa katika Uzinduzi huo wakipita barabara ya Malindi kuelekea katika Viwanja vya Ngome Kongwe. |
HIVI ndivyo ilivyo katika uzinduzi wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar.
WASANII wakiwa katika maandamano ya Uzinduzi wa Tamasha wakiwa katika mavyazi ya kiasili ya Afrika wakiwa katika maandamano wakipita katika mitaa ya Michezani. |
WATALII wakipata picha ya Kumbukumbu ya Tamasha la Sauti ya Busara kwa Mwaka 2011 ili kuweka kumbukumbu yao walivyotembelea Zanzibar.
WASANII wa Ngoma ya Kiluwa wakiwa katika maandamano ya Uzinduzi wa Tamasha la Sauti ya Busara Zanzibar. |
WATALII wakiangalia Maandamano ya Tamasha la Busara yakipita barabara ya Forodhani ikiwa ni ufunguzi wa Tamasha hilo.