Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

BREAKING NEWSSSS

-
Rehema Mwinyi.



Inna lillahi wa inna ilayh raajiun...hakika sisi sote ni waja wa Allah na kwake tu sote tutarudia..kwakweli tuwe pole sote.kwa mziba mzito ulotukumba..na Allah atupe moyo wa subra katika kipindi hichi kigumu mno...tupunguze maombelezi bali tutumie muda huu kuwaombea dua ndugu na rafiki zeti waliotangulia mbele ya haki.na tujiombee duo sisi Allah atupe hatma njema.na tuache kujilaumu juu ya tukio hili kwani Allah amepanga itokee hivyo binadamu huwezi kupingua....

Habari ziliifikia blog hii usiku huu wa saa 9 kutoka kwa mwana blog wetu Shariff wa 

kisiwani znz watu zaidI ya 610 ,wamefariki dunia katika ajali ya meli ya 'Spice

Islanderiliyotokea njee kidogo ya visiwa vya zanzibar katika mkondo mkubwa wa nungwi.meli

 hiyo inayofanya safari zake kutoka zanzibar kwenda kisiwani pemba ikiwa ina idadi kubwa

 ya vijana na watoto waliotoka zanzibar kwa mapumziko ya ramadhani na sikuu ya eid fitri.

blog ya from coast imepokea kwa huzuni kubwa na masikitiko habari hizi.na INSHAALLAH

 TUKO PAMOJA KATIKA WAKATI HUU MGUMU. ALLAH AKBAR.

HABARI ZAIDI ZITAWAJIA

Leave a Reply