Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

TUMUOMBEENI VENGU JAMANI

   Watanzania  tumuombeeni Vengu  apone haraka he is still in coma.so sad jamani.tumuombee sa

[ Read More ]

A TITANIC LIKE SCENE AS A COSTA CONCORDIA CRUISE SHIP SINKS OFF THE ITALIAN COAST...!!!

 The luxury cruiser was carrying 4200 people when it capsized off the cost of Italy Three confirmed dead,  at least 50 still missing Passengers Evacuated To Nearby Island Power Failure Could Be Responsible, Says Sea Industry Expert Tragedy: A terrified passenger said it was 'like a scene from the Titanic' as the ship began to sink and people were ordered into lifeboats and airlifted

[ Read More ]

Breaking news:

   Kamati kuu ya CCM iliyofanya mkutano wake leo jioni mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete, imempitisha Mohamed Raza kuwa mgombea wa kiti cha uwakilishi jimbo la Uzini, Unguja kwa tiketi ya chama hicho. Kamati hiyo imempitisha baada ya mchuwano mkali na kuwepo kwa njama za kumtema Raza huku wapinzani wake wakidai kuwa Raza hana elimu ya kidato cha nne, ana uraia

[ Read More ]

MZEE KIPARA WA KAOLE AFARIKI

Baadhi ya wasanii waliofika kumjulia hali jana ni pamoja na  Fatuma Makongoro 'Bi Mwenda' (mbele).MSANII mkongwe wa maigizo na filamu, Mzee Fundi Said, aliyevuma katika fani… Mzee upara akipata matibabu jana. Muuguzi akimhudumia Mzee Kipara. Baadhi ya wasanii waliofika kumjulia hali jana ni pamoja na  Fatuma Makongoro 'Bi Mwenda' (mbele).MSANII mkongwe wa maigizo na filamu, Mzee

[ Read More ]

Ajali Yaua Sita

WATU sita wamekufa papo hapo wakati gari walilokuwa wakisafiria lilipopata ajali likikwepa mbwa katika eneo la katikati ya Kijiji cha Paje na Jambiani katika Mkoa wa Kusini Unguja. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Augustino Olomy alithibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kuongeza kuwa dereva wa gari hilo, Said Hemed Salim pia alikufa. Wengine waliokufa ni Abdalla Maliki Jaffari (20), Haji Hassan

[ Read More ]

Prof LIPUMBA ACHAGULIWA MWENYEKITI WA UCHUMI DUNIA

Prof. Ibrahim Lipumba Prof. Ibrahim Lipumba amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Uchumi wa Dunia. Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF ameteuliwa nafasi hiyo kutokana na uwezo wake na elimu aliyonayo ya mambo ya Uchum

[ Read More ]

BEYONCE AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Beyonce has given birth to a baby girl! is reporting that the baby girl's name is Blue Ivy Carter (or at least that is what Jay is telling his friends). Earlier in the night, it was reported that the baby's names was Ivy Blue Carter...seems like a late night switcharoo from E! News cleared up the confusion.Beyonce gave birth on Saturday, January 7th during a scheduled C-Section at Lennox Hill Hospital.Earlier

[ Read More ]

AL-SHABAAB YATISHIA KUSHAMBULIA MIKOA YA KASKAZINI MASHARIKI YA TANZANIA

KUNDI la kigaidi nchini Somalia lenye uhusiano na al Qaeda, la al Shabaab limetishia kufanya mashambulizi Tanga na Kilimanjaro na tayari vyombo vya usalama mkoani Kilimanjaro, vimetoa hadhari katika maeneo ya viwanda vinavyoweza kushambuliwa. Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Absalom Mwakyoma, alithibitisha kuwapo kwa tishio hilo lakini alikataa kuzungumzia zaidi kwa madai ni la kiusalama zaidi. “Hilo

[ Read More ]

Don’t be sad. Allah knows everything.

I leave and go, but Allah ‘the one with all the kindness is always thereAnd I ask Him for hope that is never rejectedAnd I ask Him for safety from a worldI am tested through it, where it’s disasters turn me grayAnd I ask Him all the time and in all casesBecause He is the one who makes our hearts feel safeThe way He makes everything around is beyond our imaginationIt is mysterious to us, because

[ Read More ]

Sita Wafariki kwa Kula Kasa Micheweni

    WATU sita wamefariki dunia Tumbe wilaya ya Micheweni Pemba na wengine kulazwa hospitali wakiwa hali zao mbaya baada ya kudaiwa kula nyama ya kasa.Taarifa kutoka kisiwani humo zinaeleza kuwa waliofariki katika mkasa huo wakiwemo watoto ni pamoja na Sara Hamad Bakar (55), Aisha Said Juma (7), Fatma Abdalla Rajab (5), Mariyamu Said Juma (5), NasriaKhatib Haji (1) na Zuwaifa Omar Khamis

[ Read More ]

Mimi bado ni CUF – Hamad Rashid

Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohammed Baada ya chama cha CUF nchini Tanzania kumfukuza uwanachama Mbunge Hamad Rashid , Mbunge huyo aibuka na kusema yeye bado mwanachama halali wa chama hicho. Anaeleza mambo yakiwa mabaya zaidi upande wake ataanzisha chama kipya cha siasa. Sudi Mnette amezungumza na Mbunge huyo wakati akifanya mkutano wake na waandishi wa habari muda mfupi uliyopita jijini Dar es

[ Read More ]

Ni uamuzi wa kihuni asema-Hamad

   Mbunge wa Wazi Zanzibar Hamad Rashid Mohamed (katikati),akiwa na wanachama wenzake katika kikao cha Baraza Kuu la Chama Cha Wananchi (CUF)mjini Zanzibar jana, kabla ya kuanza kwa kikao cha kuamua hatma yao ndani ya Chama hicho, ambapo anatuhumiwa yeye na wenzake 13 kukisaliti Chama HATIMAYE Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed na wenzake watatu wamefukuzwa uanachama wa CUF kuanzia

[ Read More ]

HAMAD RASHID

  AudioPlayer.embed("pod_audio_1", {soundFile: "http%3A%2F%2Fmzalendo.net%2Fwp-content%2Fuploads%2Fmp3%2F2012%2Fjan%2Fmaamuzi_ya_cuf.mp3"}); Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la CUF limepitisha uamuzi wa kuwafukuza uanachama Hamad Rashid Mohamed, Doyo Hassan Doyo, Shoka Khamis Juma, na Juma Said Saani. Pia limempa karipio kali Yasin Mrot

[ Read More ]

WAUWAJI WA STEPHEN LAWRENCE WABAINIKA!

Baada ya miaka 18 ya upelelezi na kuendesha kesi kuhusu mauwaji ya kijana mweusi mjini London, Stephen Lawrence, wanaume wawili wamepatikana na hatia. Gary Dobson na David Norris Gary Dobson na David Norris wamepatikana na hatia na jopo la mahakama baada ya kesi hio kutegemea ushahidi wa kitaalamu. Wataalamu wa uchunguzi

[ Read More ]

SIMU YA MCHINA YAMLIPUKIA NA KUMUUNGUZA MWILI

Mbunge wa Jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe (kulia) akimjulia hali mfanyabiashara wa mafuta katika Kijiji cha Luilo Ludewa, Joseph Haule ambaye amelipuliwa na mafuta baada ya simu yake ya kichina kulipuka,majeruhi huyo anatibiwa katika Hospital ya Wilaya ya Ludewa, mkoani Iringa. Filikunjombe na baadhi ya wananchi wakimjulia hali Joseph Haule Joseph Haule akiwa amelazwa Hospitali baada

[ Read More ]