Rais Kikwete akiweka saini katika kitbu cha maombolezo leo alipofika nyumbani kwa Marehemu Steven Kanumba maeneo ya Sinza 'Vatican' kutoa pole na rambirambi. Rais ameto ubani wa shilingi milioni 10 kwa kifo hicho ambacho kimetingisha tasnia ya filamu ndani n nje ya nchi Rais Kikwete akiongea na wanakamati wa kamati ya msiba wa Steve Kanumba
Rais Kikwete akiwa nyumbani kwa marehemu mapema leo alipo enda kuhani msiba
Rais Kikwete akitoa pole kwa dada wa marehemu Steve Kanumba na chini akiwafariji
Rais Kikwete akiongea na wafiwa
Rais Kikwete akimpa pole mdogo wake marehemu Steven Kanumba
Rais Kikwete akisalimiana na Dokta Sheni huku Millen Magesse na wasanii wengine wakiangalia
Rais Kikwete akiwapa mkono wa pole wasanii wa tasnia ya filamu Tanzania
Picha kwa hisani ya Michuzi Blog