Harakati katika soko la Mwanakwerekwe zikiwa kama kawaida ikiwa leo ni mwezi misi rRamadhani hali sokoni hapo ikiwa y kawaidi bidhaa za futari bei ikiwa ya wastani fungu la majimbi, muhogo, viazi vikuu na maboga bei ya mwazo ni shilishi 1000 mna 2000. na Nazi zilikuwa zikiuzwa kati ya shilingi 500/= hadi 700/=. Bei ya Ndizi mbichi chana moja huuzwa shilingi 2500/= na mkono wa Tembo
WAZIRI wa Miundombinu na Mawasiliano, Hamad Masoud Hamad, amesema haoni sababu ya kujiuzulu nafasi yake, kufuatia janga la kuzama kwa meli ya MV.Skagit iliyopoteza maisha ya zaidi ya watu 60. Waziri huyo alieleza hayo wakati akizungumza na vyombo vya habari alipokuwa akielezea kadhia ya ajali hiyo, ambapo katika mkutano huo waziri wa Uchukuzi wa Tanzania bara Harrison Mwakyembe na Naibu wake