![]() |
| Jeneza la bibi likielekea msikiti kwa ajili ya kusaliwa |
![]() |
| Mtangazaji Hassan Bond, Fid Q, Diamond Platnumz na Ruge Mutahaba wakiwa msibani nyumbani kwamarehemu bi Kidude, Zanzibar |
![]() |
| Msanii Fid Q, Baraka cousin ya Marehemu Bi Kidude na Hassan Bond Mussa (FID Q ndo alikuwa msanii wa kwanza mkubwa kufika msibani kwa bibi) |
![]() |
| Ruge mutahaba, Babu Tale and Guru. .......msibani kwa Bi Kidude |
![]() |
| Guru G na Mh Bhaa mazikoni |
![]() |
| Hassan na Fid Q wakiwa katika picha ya pamoja na familia ya Marehemu Bi Kidude |
![]() |
| Sehemu ya umati wa Watu waliofika msibani Endelea kuwa nasi kwa tukio zima la maziko ya Bibi yetu |







