Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

Ufafanuzi Zaidi Juu Ya Keratoconus.

         baada ya kuandika makala ya kwanza kuhusu keratoconus nimegundua kuwa kuna idadi kubwa ya watu wanaohitaji kujua zaidi juu ya hili tatizo na vilele juu ya tiba yake. na wapo wengine 
ambao hawana ufahamu wowote juu hili na wapo wale ambao amegundulika na hili tatizi ila kwa njia moja ama nyengine wamekosa ufumbuzi wake.na leo nitaongea zaidi juu ya dalili na tiba yake.




kama nilivyokwisha eleza maana ya keratoconus ni hali ya kuendelea ambayo inafanya muundo wa kawaida
wa cornea ambao ni curve kwenda kwenye muundo wa cone.na vilevile nikatoa mambo yanayopelekea tatizo hili  kuwa
ni urithi na mazingira..na sababu nyengine pia ni ukunaji wa macho kupindukia.
ukunaji wa macho kupindukia, kwa mtu mwenye matatizo ya macho ni kawaida kwake kujikuta na uwasho katika macho ambapo inapelekea yeye kutumia muda mwingi sana kujikuna.kitu ambacho ningependa kuwashauri ni kwamba kupunguza kufanya kujikuna na kujitahidi kuacha kabisa  kwani ni sababu moja apo inayosemekana kupelekea keratoconus.



na miongoni mwa dalili za keratosconus ni;

*maumivu ya kicha na macho kwa ujumla


*kuwashwa kwa macho na kujikuna kupindukia.



*kushindwa kuendesha chombo wakati wa usiku

*kuona vitu viwiliviwili

*kuumizwa na muangaza

*kushindwa kusoma alama za barabarani


* blurring vision ambayo haitaweza kurekebishika kwa mawani isipokua kwa 20/20 with rigid,contact lenses.



*mabadiliko ya namba za miwani mara kwa mara.



 kwa upande wa matibabu ya keratoconus yapo mengi na kwa hatua mbali mbali.kwanza kabisa mgonjwa pindi anapogundulika na keratoconus changa hutakiwa kuvaa miwani au contact lens,ambazo mara nyingi huwa si suluhisho ya tatizo hili,pia kuna treatment nyengine ambayo inaitwa Intacs,c3-r,na cornea transplant.

intacs ring


contact lens


classes


C3-R. Corneal Collagen Crosslinking with Riboflavin.


in 2008 FDA clinic ya nchini marekani ulikuja na tiba ya kuzuia tatizo hili ambalo kwa kitaalam inaitwa  corneal collagen cross-linking (C3-R).


C3-R huzuia kuendelea kwa ukuaji wa kertocunus,naomba ifahamike kwamba c3-r  haitabadisha shape ya cornea iliyoharibika na wala haitoondoa athari iliyotokezea bali inazua kabisa maradhi haya kuendelea kukua tena,na pia huondoa ulazima wa cornea transplant.vilevile c3-r inasaidia kupunguza namba ya miwani yako.ingawa wataalamu wanasema keratoconus inaendelea na baada ya muda inasita but hawezi jua hadi kipindi itakoposita yaweza kuwa imeshakuathiri kiasi gani.

\


watu wengi wamekua na uelewa wa tiba corneal transplant lakini ningependa kuwaambia kuwa tiba hii ni ya mwisho kabisa kwa tatizo hili pindi tiba zote zitakaposhindikana ingawa ma daktari wengi nchini tanzania wanawashauri wangonjwa kufanya cornea transplant.

Cornea Transplant.




ni surgery inayofanywa ku replace cornea  kwa kutumia tissue ya mchangiaji mwengine mnaoendana.kusema ukweli cornea transplant  sio suluhisho kamili ya keratoconus ila ndio hivyo lisilobudi kwani mgonjwa anaetakiwa kufanyiwa tiba hii ni yule ambae amekosa kabisa uwezo wa kuona na ameshatumia njia zote,


napenda kusema ukweli kuwa cornea transplant ni tiba yenye hasara nyingi pia,naomba ifahamike kwamba baada ya kufanyiwa cornea transplant bado utakua unahitaji miwani ili kuona vizuri.na pia huwa inachukua muda mkubwa ili ku recover na pia hata kama cornea transplant itafanikiwa kufanyika bila ya tatizo lolote hutarudi kwenye hali 
yako ya kawaida kabisa..nakumbusha tena corneal transplant ni tiba ya mwisho kwa mgonjwa wa keratoconus.



kama una mtu mwenye tatizo hili nyumbani kwako au mtu yeyote unaemfahamu basi mshauri aende hospital na aulizie hii C3-R  treatment na doctor atamueleza kama ni candidate mzuri
wa kufanyiwa  hii treatment au la.

kwa maelezo haya nadhani yanaweza kusaidia kidogo kwa wale wenye utata juu ya tatizo hili.. kwa taarifa zaidi ya tatizo hili btajaribu kuwaletea kadri ya uwezo wangu ili nanyi mfaidike.


kupata makala ilopita bofya hapa.http://fromcoast.blogspot.com/2011/08/sharing-this-story-may-save-some.html

Inspire Me Daily.One Person Can Make a Difference.

[ Read More ]

HAWA MALAIKA WANAHITAJI MAZIWA TU...!!!



Familia ya Bw. na Bibi Edwin Dosantos wakazi wa Kimara jijini Dar es Salaam wanaomba msaada wa maziwa au fedha kwa ajili ya kuwasaidia kuwatunza watoto wao mapacha watatu ambao wana Umri wa miezi miwili.
Akizungumza na MO BLOG jijini Dar es Salaam  Baba wa watoto hao Bw. Dosantos amesema kwa sasa yeye na mkewe hawana kazi na inawawia vigumu kutimiza mahitaji ya watoto hasa lishe kutokana na kwamba mama mzazi wa watoto hao hana maziwa ya kutosha kuwakidhi watoto hao.

MO BLOG inaomba kuwashirikisha wadau ambao wataguswa na malaika hawa kuwasaidia chochote kupitia namba  ya mzazi wa kiume wa watoto hao             +255719909085       au             +255714940992       kwa kuwasiliana au kuwasilisha mchango wowote hasa maziwa.

Tunaamini kutoa ni moyo na si utajiri.
[ Read More ]

The Most Intelligent Baby Girl

[ Read More ]

EID MUBARAK




As Allah waters HIS Creation,


May HE also sprinkle HIS wonderous

blessings over you and your beloved ones.
(Aameen).


**
EID MUBARAK**
 
[ Read More ]

Today inspiration msg





This life is what you make it. Not matter what, you're going to mess up sometimes, it's a universal truth. But the good part is you get to decide how you're going to mess it up. Girls will be your friends - they'll act like it anyway. But just remember, some come, some go. The ones that stay with you through everything - they're your true best friends. Don't let go of them. Also remember, sisters make the best friends in the world. As for lovers, well, they'll come and go too. And baby, I hate to say it, most of them - actually pretty much all of them are going to break your heart, but you can't give up becuase if you give up, you'll never find your soul mate. You'll never find that half who makes you whole and that goes for everything. Just because you fail once, doesn't mean you're gonna fail at everything. Keep trying, hold on, and always, always, always believe in yourself, because if you don't, then who will, sweetie? So keep your head high, keep your chin up, and most importantly, keep smiling, because life's a beautiful thing and there's so much to smile about.

[ Read More ]

HAPPY BITHDAY ANKAL MICHUZII



KWA MAJAALIWA YAKE MWENYEZI MUNGU MTUKUFU LEO ANKAL ANASHEREHEKEA SIKU YA HEPI BESDEI YA KUZALIWA KWAKE.
ANAMSHUKURU MOLA KWA KUMJAALIA KUFIKISHA SIKU YA LEO SALAMA, NA ANAMUOMBA AMUAFU YEYE NA FAMILIA YAKE PAMOJA NA WADAU WOTE MAISHA MEMA NA YA AFYA, NA KUMPA NGUVU KUENDELEA KUITUMIKIA JAMII KWA MOYO MMOJA BILA KUCHAGUA WALA KUIBAGUA KWANI ATAYEMZIKA HAMJUI.
ANATOA SHUKRANI PIA KWA TIMU NZIMA YA GLOBU YA JAMII KWA KUENDLEZA UTUMISHI ULIOTUKUKA, WADAU KWA KUENDELEA KUMSAPOTI PAMOJA NA WAFADHILI WOTE AMBAO KWA PAMOJA ASINGEFIKA HAPA PADOGO ALIPO KWA URAHISI. MOLA NA AWABARIKI NA AWAZIDISHIE KILA PENYE MAPUNGUFU.
[ Read More ]

Anna Hazare agrees to end hunger strike


     


 An Indian reform activist agreed Saturday to end an 11-day hunger strike after Parliament expressed nonbinding support for parts of his anti-graft plan, ending a drama that had deeply embarrassed a government plagued by corruption scandals.
The 74-year-old Anna Hazare had demanded sweeping legislation to create a government watchdog, but said Parliament's move was enough to persuade him to begin eating.
"It's only a half victory. Total victory is yet to come," he told thousands of cheering supporters at a protest ground in New Delhi. Hazare, who has lost more than 16 pounds (7.5 kilograms), said he planned to break his fast Sunday morning.
Following a nine-hour debate Saturday, Finance Minister Pranab Mukherjee told Parliament that the "sense of the House" was in favor of Hazare's demands that the proposed bill ensure greater transparency in governance and include millions of low-level bureaucrats and state officials under its purview.
Lawmakers thumped their desks in support, and the bill was referred to a committee to be debated and revised.
"The Parliament has spoken ... and the will of the Parliament is the will of the people," Prime Minister Manmohan Singh told the NDTV news channel.
Hazare had called for a formal vote on the nonbinding resolution, but his aides said Parliament's actions still amounted to a victory for a protest that has attracted tens of thousands of supporters to his demonstration in the capital and more to rallies around the country.
"Now at least the Parliament has had to take cognizance of the people's wish, and that is to wipe out corruption from this country," said Medha Patkar, a protest organizer.
Hazare had initially wanted far more when he began his fast on Aug. 16, demanding the government withdraw its own bill to create a limited watchdog panel, introduce his far-reaching plan into Parliament and pass it with limited amendments by Aug. 30.
Government officials dismissed his plan — which would let the watchdog prosecute the prime minister, judiciary and state officials — as unconstitutional and his methods as a form of blackmail anathema to democracy.
Yet, the enormous outpouring of support for Hazare by Indians disgusted at the corruption infesting all aspects of public life surprised top officials and forced them to take him and his reform campaign seriously.
There is a need for "change in the system," Mukherjee told Parliament.
However, he dampened expectations for what the proposed bill could accomplish.
"Does any one of us believe seriously ... that any one piece of legislation, however powerful and effective it may be, however independent and empowered it may be, that piece of legislation will completely eradicate corruption?" he asked.
The government appeared to be flailing through much of Hazare's hunger strike as protest organizers used social media and India's breathless 24-hour news channels to spread their message and gather support.
But officials worked in recent days to retake control of the debate, and Singh's speech in Parliament on Thursday praising Hazare and offering to have lawmakers debate several proposed drafts of the bill, including Hazare's, appeared to turn the tide.
Hazare then softened his stand, asking only for Parliament to pass the nonbinding resolution on a few of his key demands.
Mukherjee kicked off the unscheduled debate Saturday by warning lawmakers they were bound by oath to act "within the constitutional framework, without violating supremacy of Parliament."
The main opposition Bharatiya Janata Party expressed dismay at the government's proposal for the anti-graft law, which does not include the prime minister and judiciary in its purview. But its senior lawmaker Arun Jaitley told the assembly that "nobody can dispute that Indian Parliament is supreme when it comes to law making."
[ Read More ]