Binti wa Marehemu Rashid Kawawa , Habiba Kawawa amefariki jioni ya Leo siku chache kabla ya arobaini ya baba yake katika hospitali Ya Taifa ya Muhimbili majira ya saa kumi na Mbili Jioni….
Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Habiba huko Tegeta
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi..Amin..