Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

Just in:

Inna lillahi waina ilaihi rajiun.Ajali ya boti iliyokuwa ikitokea Pangani Tanga imezama watu wanane wamefariki wakiwemo watoto watatu. Na watu kumi na moja wamepotea baharini. Wengine wameokolewa na boti ilikuwa na jumla ya watu 35. Chombo hicho kimezama kutokana na hali ya hewa ya upepo,Mammlaka ya hali ya hewa jana mwanzoni mwa week hii imetoa tahadhari ya kuwepo kwa mvua kubwa na upe

[ Read More ]

Gas City: Hospitali ya Apollo kujengwa Kilwa

Wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi na wakaazi wa mikoa ya kusini kwa ujumla, wanatarajia kunufaika na ugunduzi wa gesi katika visiwa vya Zafaran na Lavan vilivyopo wilayani huo. Kampuni ya Statoil kutoka nchini Norway ikishirikiana na Exxon Mobil imegundua gesi katika Visiwa vya Zafaran na Lavan vilivyopo Kitalu namba 2, Ukanda wa Pwani ya Tanzania, hususan Pwani ya Kilwa

[ Read More ]

Dr Shein swears in permanent secretaries for national unity government

Zanzibar President Dr Ali Mohammed Shein swears in Dr Abdulhamid Yahya Mzee at a ceremony at Zanzibar State House yesterday after appointing him Isles’ Revolutionary Council Permanent Secretary. (Photo: Ramadhan Othman)   Employment History President Zanzibar Board Memberships and Affiliations Chief Secretary Zanzibar Chief Secretary Zanzibar Revolutionary Council Permanent

[ Read More ]

Two die in helicopter crane crash in Vauxhall, London

  Two people have died after a helicopter crashed into a crane at a building site in central London in misty conditions, police have said. read more http://www.bbc.co.uk/news/uk-england-21040

[ Read More ]

Saikolojia: Namna ya kutambua tabia ya mtu

Hakuna anayependa kusahihishwa, kugombana au kukemewa mbele za watu, hii ndiyo tabia ya watu wajeuri na walio na tabia za kitukutu. Mara nyingine hudhani wanapata sifa. Wako watu wa jinsi hii ambao hawawezi kukugombeza au (kukupa vidonge vyako) mkiwa wawili peke yenu, watangoja watu wengine wawepo ndiyo waanze kubwabwaja, cha kufanya jiepushe nao. Kwa kule kukimbiwa na marafiki, na kuwa mpweke,

[ Read More ]

TANZANIA YASHINDA KATIKA SHINDANO LA KUTAFUTA MAAJABU SABA YA ASILI YA BARA LA AFRIKA

Bodi ya Utalii Tanzania inapenda kuwaarifu wananchi na umma kwa ujumla kuwa Tanzania itakuwa nimiongoni mwa nchi ambazo angalau moja ya vivutio vyake kitaingia katika orodha ya Maajabu Saba ya AsiliBarani Afrika baada ya kukamilika kwa upigaji wa kura katika shindano la kutafuta Maajabu Saba ya AsiliBarani Afrika Desemba31, 2012 na Tanzania kuwa miongoni mwa washindiKampeni ya kutafuta Maajabu Saba

[ Read More ]

MHE. MWANRI AZITAKA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUSIMAMIA VIZURI FEDHA ZA MIRADI YA SERIKALI

Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri akipima kwa tape maalum urefu wa moja ya barabara zilizojengwa na Manispaa ya Sumbawanga katika Mji huo kuhakikisha kama barabara hiyo imejengwa kwa vipimo vilivyoanishwa kwenye mpango wa ujenzi huo (BOQ). Naibu Waziri huyo alitumia fursa hiyo kuziasa halmashauri zote nchini kusimamia vyema fedha za Serikali katika miradi kuhakikisha inafanana na

[ Read More ]

RAIS SHEIN AZINDUA MRADI WA ONE WORLD FOOTBAL

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohammed Shein ameuagiza uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzi ya Amali kuhakikisha michezo yote inayoruhusiwa kisheria Zanzibar kuchezwa mashuleni isipokuwa mchezo wa Ngumi (Boxing). Amesema michezo yote inafaa kuchezwa wala haipunguzi kasi ya mwanafunzi kusoma na kwamba Wizara inapaswa kulisimamia agizo hilo ili Zanzibar iweze kupata

[ Read More ]

NAIBU WAZIRI ASISITIZA RESI ZA NGALAWA KUENDELEZWA

Naibu Waziri wa Ardhi,Makazi,Maji na Nishati Haji Mwadini Makame akipuliza filimbi kuonyesha ishara ya kuanza kwa mashindano hayo.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. Naibu Waziri wa Ardhi Makazi, Maji na Nishati Haji Mwadini Makame amewataka Manahodha wa Ngarawa waendelee kudumisha utamaduni wao wa kufanya mashindano ya Resi za Ngalawa kila ifikapo nuda wa maadhimisho ya shererhe za Mapinduzi

[ Read More ]

MUUNGANO WA MAKAMPUNI YA OMAN KUWEKEZA SHIRIKA LA NDEGE ATCL SHS. BILIONI 160

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Oman Oktoba mwaka 2012 baada ya kualikwa na Mtukufu Sultan Qaboos Bin Said ambapo aliambatana na ujumbe wa mawaziri na viongozi waandamizi wa biashara. Katika ziara hiyo Rais Kikwete alibadilishana uzoefu wa uhusiano na kuangalia namna ya kudumishaushirikiano wa nchi hizo mbili kuhusiana na biashara, elimu, utamaduni

[ Read More ]

SMZ UIMARIKAJI WA SECTA YA UTALII UMEANZA KUSHAMIRI ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akishusha Nanga kuashiria kuweka jiwe na nanga la ujenzi wa chumba cha chini ya bahari katika Hotelai ya Manta Resort iliyoko Makangale Kaskazini mwa Kisiwa cha Pemba. Harakati za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuimarisha Sekta ya Utalii zimeanza kuonyesha dalili za mafanikio kufuatia uwekezaji wa daraja la juu katika sekta hiyo kuanza

[ Read More ]