FROM COAST

Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI WASHINGTON DC‏

 Rais Dkt Jakaya Kiwete  akiingia Ritz Calton Hotel wakati alipowasili Washington, DC kwa kuendelea na ziara yake ya nchini Marekani aliyoanzia kwenye miji ya San Francisco na Vallejo, California.  Rais Dkt Jakaya Kiwete akisalimiana na Mwambata mpya wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada Kanali Adolph Mutta

[ Read More ]

BINTI WA NIGERIA ATANGAZWA KUWA MISS WORLD MUSLIMAH 2013

Binti wa kinigeria Obabiyi Aishah Ajibola mwenye umri wa miaka 21, jana ametangazwa kuwa mshindi wa shindano la Miss World Muslimah wa mwaka 2013 lililofanyika mjini Jakarta,Indonesia. Mabinti 20 kutoka nchi sita ndio waliofanikiwa kuingia fainali ambapo washiriki wote walivaa hijabu na mavazi yaliyostiri maungo yao. Baada ya kuonesha watazamaji na wasomi wa kiislamu, jopo la majaji lilimchagua

[ Read More ]

LEADERSHIP MISTAKES THAT NO ONE WILL POINT OUT

Normal 0 false false false EN-US X-NONE AR-SA MicrosoftInternetExplorer4

[ Read More ]

HAPPY BIRTHDAY NELSON MANDELA

 Nelson Rolihlahla Mandela.   LEO ni siku ya kuzaliwa kwa rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Rolihlahla Mandela. Mzee Mandela ametimiza miaka 95 ya kuzaliwa mbali na afya yake kuwa mbaya baada ya kuwa mahututi kwa muda mrefu katika hospitali moja nchini Afrika Kusini. Tunamtakia kila la kheri Mzee Mandela katika siku yake ya kuzaliwa le

[ Read More ]

MAMA AMCHOMWA MWANAE NA MKASI MARA 90 KWA MADAI YAKUMG'ATA ZIWA AKIWA ANANYONYA.

Maskini unyama mwingine hauna hata maana maybe alikuwa amechanganyikiwa Kweli ukistaajabu ya Musa.... Ni kama miujiza kwa mtoto wa kichina kuwa hai mpaka sasa licha ya kuchomwa chomwa mara 90 na mama yake mzazi huko China kwa madai kuwa alimng’ata ziwa mama yake wakati akinyonyeshwa. Kwa mujibu wa Daily Mail mtoto huyo Xiao Bao mwenye miezi 8 tu ameshonwa zaidi ya nyuzi 100 ili kuurudisha

[ Read More ]

Kumbukumbu ya kutimiza miaka 13 ya kifo cha Baba yetu Mzee Mustafa Katuli.

Ni miaka kumi na tatu (13) tangu ututoke baba yetu mpendwa Mustafa Katuli.Unakumbukwa sana na watoto wako Farida,Othman,Maana,Khadija na Rehema. pia na Ndugu,jamaa na marafiki zako,Tulikupenda sana ila Mungu amekupenda zaidi. Allah akulaze mahala pema peponi. Ami

[ Read More ]

Angelina Jolie akatwa matiti kuzuia Saratani

Angelina Jolie Mcheza filamu mashuhuri sana duniani,Angelina Jolie amesema kwamba amekatwa matiti yake yote pamoja na kuondoa mfuko wake wa uzazi. Kwenye taarifa aliyoandika kwenye gazeti la New York Times, Bi Jolie amesema alifanyiwa uchunguzi wa celi zake na kugunduliwa kwamba alikuwa katika hatari kubwa sana ya kupata saratani ya matiti. Ndipo akaamua kukatwa matiti yake mawili. Taarifa

[ Read More ]

Ujumbe wa Oman Wawasili Zanzibar kwa matayarisho ya Mkutano wa Kimataifa wa Historia ya Oman na Zanzibar, Historia ya Kiislam na Utamaduni wake.

Kaimu Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Saleh Suleiman, akisalimiana na Kiongozi wa Msafara wa Wajumbe wa Oman waliowasili Zanzibar leo kwa ajili ya matayarisho wa Mkutano wa Historia na Utamaduni wa Kiislam. unaotarajiwa kufanyika mwezi wa september 2013 Zanzibar.   BALOZI wa Oman  nchini Tanzania Yussuf Al Bakar ( katikati) akiongozana na Ujumbe kutoka Nchini Oman ukiwasili

[ Read More ]

MAELFU WAHUDURIA MAZIKO YA MAREHEMU BI KIDUDE.

Jeneza la bibi likielekea msikiti kwa ajili ya kusaliwa Mtangazaji Hassan Bond, Fid Q, Diamond Platnumz na Ruge Mutahaba wakiwa msibani nyumbani kwamarehemu bi Kidude,  Zanzibar Msanii Fid Q, Baraka cousin ya Marehemu Bi Kidude na Hassan Bond Mussa (FID Q ndo alikuwa msanii wa kwanza mkubwa kufika msibani kwa bibi) Ruge mutahaba, Babu Tale and Guru. .......msibani kwa Bi Kidude Guru

[ Read More ]

Bi Kidude Wakati wa Uhai wake

BiKidude akiwa katika viwanja vya Ngome Kongwe wakati wa Tamasha la Sauti za Busara   BiKidude akipinga ngoma aina ya Uyango katika matamasha yanayofanyika Zanzibar katika viwanja vya Ngomekongwe  Mwaka 2005 huko Gateshead, Newcastle nchini Uingereza,Bi.Kidude alipokea tuzo yenye heshima kutoka World Music Expo (WOMEX) kwa mchango wake katika muziki na utamaduni wa Zanzibar.

[ Read More ]