Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

KIKAO CHA BARAZA CHA KUWACHAGUWA WABUNGE WATANO WATAKAOLIWAKILISHA BARAZA BUNGENI

-
Rehema Mwinyi.



Spika wa Baraza la Wawakilishi Mheshimiwa 
Pandu Ameir Kificho akiwajibika


WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wa Chama Cha
 Mapinduzi wakifuatilia kikao cha asubuhi.


WAJUMBE wa Baraza wa Chama cha CUF 
wakiwa katika kikao cha asubuhi kikiendelea.


MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
 Seif Ali Iddi akitowa hoja ya kuahirishwa kikao cha baraza hadi
 Januari 19, 2011.
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi akitoka katika 
Ukuimbi wa Baraza baada ya kulihairisha mpaka 
Januari 19, 2011

Leave a Reply