Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

Wah. Wabunge Wakila Kiapo Bungeni Leo

-
Rehema Mwinyi.


Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda akiingia Bungeni baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo mjini Dodoma.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda akila kiapo cha kuwa mbunge wa jimbo la Mpanda Mashariki ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Edward Lowassa akila kiapo cha kuwa Mbunge wa jimbo la Monduli ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Hai Mh. Freeman Mbowe akila kiapo cha kuwa mbunge wa jimbo hilo mjini Dodoma.
Mbunge wa jimbo la Muhambwe, Kibondo-NCCR –Mageuzi, Mh. Felix Mkosamali akila kiapo cha kulitumikia jimbo hilo mjini Dodoma. Akiwa na umri wa miaka 24 tu Mh. Mkosamali ni mmoja ya wabunge wenye umri mdogo walioapa leo. Picha na Anna Itenda na Aaron Msigwa - MAELEZO.

Leave a Reply