Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

MH. KIKWETE AND 50-CENT US

[ Read More ]

JOKE OF THE DAY..

 A tourist asked a boat Guy do u know biology,physiology,geology,psychology and criminology?The boat guy said No........The tourist then said damn, what the hell do u know on the face of this earth you will die illiteracy!! After a while a boat started sinking' then a boat guy asked the tourist Do you know swimology and escapology from crocodology? The tourist answer

[ Read More ]

Fuso laua watu watano Moro

WANUNUZI watano wa mahindi  wamekufa na wengine watatu kujeruhiwa baada ya tairi la gari walilokuwa wakisafiria, kupasuka na kusababisha gari hilo kupinduka,  katika eneo la Magubike katika Barabara ya Dodoma- Morogoro.Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro, Adolphina Chialo, aliwataja waliokufa katika ajali hiyo juzi usiku kuwa ni Mwarami Abdallah, mkazi wa Mzense jijini Dar es Salaam, Selemani

[ Read More ]

Vijana wa Zanzibar kupata mafunzo ya kujiajiri kutoka India

VIJANA wanaomaliza vyuo vikuu vya Zanzibar wataanza kunufaika na utaratibu wa kupatiwa mafunzo maalumu ya biashara pamoja ufundi yatakayowawezesha kufungua miradi kujiajiri na kuwaajiri vijana wengine na kukuza hali zao za maisha.Utaratibu huo unatarajiwa kutekelezwa kufuatia mazungumzo yaliyofanyika kati ya ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar unaoongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa

[ Read More ]

Bomu Lililofichwa Kwenye Kilemba Lamuua Rais Mstaafu wa Afghanistan

Aliyekuwa rais wa Afghanistan Burhanuddin Rabbani ameuliwa baada ya mtu aliyelificha bomu kwenye kilemba chake kulilipua bomu hilo wakati wakisalimiana. Rais Burhanuddin Rabbani ambaye pia alikuwa ndiye mkuu wa baraza kuu la kutafuta amani nchini Afghanistan, alifariki dunia baada ya mtu aliyekuwa akimuamini kumgeuka na kujilipua kwa bomu alilolificha kwenye kilemba chake.Wasaidizi wanne wa Rabbani

[ Read More ]

Kim Kardashian & Kris Humphries Wedding Photos!

Kim Kardashian & Kris Humphries Wedding Photos! You might also like:

[ Read More ]

Kesi ya ajali ya Meli Zanzibar yasitishwa

KESI ya ajali ya meli ya MV Spice Islanders iliyofunguliwa dhidi ya manahodha wa meli hiyo na mmiliki wake, imesitishwa.Kesi hiyo ambayo jana ilitajwa kwa mara ya pili katika Mahakama Kuu ya Zanzibar, imesitishwa kupisha uchunguzi wa kamati iliyoundwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein.Hatua hiyo imefikiwa na Mrajisi wa Mahakama hiyo, George Kazi baada

[ Read More ]

Watu 36 Wauliwa Kwa Kupigwa Risasi Baa

Zaidi ya watu 36 wamefariki dunia nchini Burundi baada ya watu waliokuwa na silaha kuvamia baa na kuwapiga risasi watu wote waliokuwemo kwenye baa hiyo Watu 36 wameiaga dunia huku wengine wakiwa wamelazwa hospitali hali zao zikiwa mbaya baada ya watu waliokuwa na silaha kuvamia baada moja iliyopo nje kidogo ya mji mkuu wa Burundi, Bunjumbura na kuwamiminia risasi watu wote waliokuwemo kwenye

[ Read More ]

JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MKEWE!

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Mpanda, imemhukumu Haruna Ndayage (54), mkazi wa mtaa wa Kashaulili, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuingilia mkewe kinyume na maumbile. Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi, Desdel Magezi, baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo na upande wa mashtaka. Alisema shahidi wa tano ambaye ni daktari

[ Read More ]

Moto Wateketeza Soko Jingine Jijini Mbeya

Jiji la Mbeya liko kwenye taharuki hivi sasa kufuatia ajali ya moto unaoendelea kuwaka katika soko la Sido, ambako wafanyibiashara wa lililokuwa soko la Mwanjelwa walihamia baada ya soko hilo la awali kuungua.

[ Read More ]

MV Spice Islanders ilibeba abiria 3,000

Meli ya MV Spice Islanders ikielewa katika bahari eneo la Nungwi Zanzibar nchini Tanzania, inasadikiwa kuwa kabla ya kupata ajali meli hiyo ilikuwa imebeba abiria 3,000, huku uwezo wake ukiwa abiria 600 MELI ya MV Spice Islanders iliyopata ajali mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo vya takriban watu 200 na majeruhi 619 ambao waliokopolewa, ilibeba abiria 3,000 wakati uwezo wake ni

[ Read More ]

SAIDIA ZANZIBAR.

[ Read More ]

Mtoto miezi 4 aelea bila boya

MWACHENI Mungu aitwe Mungu! Wakati Visiwa vya Zanzibar vikiendelea kuomboleza msiba mkubwa wa kuwakosa ndugu zao waliokuwa wakisafiri kwa meli iliyopinduka na kuzama ya MV Spices Islander (pichani),  maajabu yanabaki kwa mtoto mchanga wa miezi minne aliyekutwa akielea bila boya la kuogelea.Kwa mujibu wa waokoaji wa tukio hilo lisilosahahulika lililotokea eneo la Nungwi, ambapo meli

[ Read More ]

Zanzibar ferry accident day 2

[ Read More ]

VIDEO AJALI YA MELI ZNZ

[ Read More ]

KATIKA VIWANJA VYA MAISARA KUTAMBUA MIILI YA NDUGU ZAO.

DK. SHEIN AKIWA KATIKA ENEO LA TUKIO NUNGWI AKIJUMUIKA NA WANANCHI KUPOKEA MAJERUHI NA MAITI MMOJA wa Abiria aliyekuwa katika ajali hiyo Khamis Jabu Faki (62) akizungumza na Mwandishi wa Redio Zenj Fm Hafidh Kassim baada ya kufikishwa katika ufukwe wa pwani ya Nunwi akielezea jinsi ya ajali ilivyotokea. WANANCHI

[ Read More ]